×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Idara Ya Polisi

Kenya ina matumaini ya kuwa na idara ya polisi iliyofanyiwa marekebisho kikamilifu kabla ya uchaguzi mkuu ujao wa 2012, hii ni iwapo miswada minne itakayotoa nafasi ya kutekelezwa kwa marekebisho katika idara hiyo itapewa kipaumbele itakapowasilishwa bungeni machi mwaka ujao na kupitishwa kuwa sheria kama inavyonuiwa na wizara ya usalama wa ndani. Haya yameelezewa katika warsha ya kupiga msasa miswada hiyo huko pwani iliyoandaliwa na wizara ya usalama wa ndani.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Idara Ya Polisi