×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Uwindaji Haramu

Maafisaa wa  shirika la wanyama pori nchini wamemuua kwa kumpiga risasi  mshukiwa mmoja mwindaji haramu katika  mbuga ya solio ilioko laikipia mashariki.  Bwana huyo alikuwa miongoni mwa wenzake watatu wanaodaiwa kuingia kinyemela katika mbuga hiyo  jana usiku kwa nia ya kuwawinda vifaru weusi ambao kwa sasa wanasemekana wamebaki mia sita na thelathini tu katika mbuga zote nchini.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Uwindaji Haramu