×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Kiplagat Angatuka

Baada ya vuta ni kuvute iliyokithiri kwa miezi, hatimaye mwenyekiti wa tume ya ukweli haki na maridhiano ameamua kung’atuka mamlakani ili kutoa fursha kwa uchunguzi dhidi yake kuendeshwa kwa wazi. Katika arifa kwa vyumba vya habari balozi Kiplagat alisema kuwa anasimama kidete kuwa hana hatia yoyote na kudai kuwa anaunga mkono hatua ya kuundwa kwa jopo la kumchunguza ili kumaliza shutuma ambazo kwa muda zimekuwa zikimkabili.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Kiplagat Angatuka