×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Polisi Wapokea Mafunzo Ya Haki Za Binadamu

Waziri wa usalama wa kitaifa Profesa George Saitoti ametangaza kuanizhswa kwa mpango wa kuwafunza maafisa  wa polisi kuhusu  haki za binadamu. Saitoti alisema hatua hiyo inaambatana na matakwa ya katiba mpya. Aidha kikosi hicho kimmekumbwa na historia ya dhulma dhidi ya wananchi na kuzua tetesi hata kimataifa kwa ukiukaji wa haki za binadamu kukithri.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in