×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Uchunguzi Wa Kinale

Kamati ya bunge kuhusu usalama alasiri hii ilifanya  mkutano na hatimaye ziara katika msitu wa Kinale palipopatikana miili ya vijana kumi na wane hivi majuzi. kamati hiyo ilifanya ziara hiyo kwa minajili ya kufanya uchunguzi wake na kutoa mapendekezo bungeni  baada ya kisa hicho kilichowashtua wenyeji wa eneo bunge la lari huko Kiambu ambapo madai yalikuwepo kwamba vijana hao waliuwawa na polisi baada ya kukamatwa na miili hiyo kutupwa katika msitu huo wa Kinale.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Uchunguzi Wa Kinale