×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Commitee Of Experts Dinner Melly Attends

Kamati ya wataalam wa katiba inakamilisha utenda kazi wake hapo siku ya jumatatu ijayo.Viongozi kadhaa humu nchini walihudhuria hafla ya kuiaga huku kamati hiyo ikilimbikiziwa sifa wakati wa utendakazi wake. Akihudhuria hafla hiyo naibu mwenyekiti wa Standard Group Paul Melly aliwataka wanasiasa kutoingiza mwingilio wa kisiasa kwenye harakati za kufanikisha kupatikana kwa katiba mpya.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in