Mwanaume Awauwa Dada 2

Dada wawili wameuawa katika mtaa wa kawangware na mshukiwa wa mauaji hayo kudaiwa kutoweka.inadaiwa kuwa mauaji hayo yalichangiwa na ugomvi baina ya watatu hao kufuatia kutoweka kwa mtoto wa jamaa huyo.Kufikia sasa mshukiwa huyo angali anasakwa na polisi..mauaji ya Kawangware ni karibu ya tano ya kinyumbani kufanyika mwezi huu