×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Afisi Ya Uchunguzi

Mswada wa kuunda ofisi ya mkuu wa uchunguzi wa vifo nchini na katika kaunti zote umeundwa ili kuhakikisha vifo vinavyozua utata vinachunguzwa.Aidha mswada huo uanuia kuhakikisha haki kwa umma.Halikadhalika unawadia wakati ambapo zaidi ya miaka 20 baadaye maswali mengi yanajiri kuhusu vifo vya viongozi kama vile JM Kariuki, Robert Ouko na Askofu Mkuu Alexandar Muge kati ya kesi zengine zilizokiuka haki za kibinadamu.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Afisi Ya Uchunguzi