×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Kesi Dhidi Ya Katiba

Mahakama imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa ikitaka kusimamishwa kwa sherehe ya kesho ya kuidhinisha katiba mpya. Majaji watano waliotoa uamuzi wao jioni hii jijini Nairobi, wamesema kwamba  hakuna haja  ya kuiweka nchi katika taharuki wakati huu  ambapo katiba mpya inanukia nchini wakisema kwamba walalamishi kwenye kesi hiyo pia walikosa kulipa ada ya shilingi milioni mbili kama inavyohitajika kisheria.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Kesi Dhidi Ya Katiba