×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Mauaji Burnt Forest

Hali ya wasiwasi imegubika eneo la burnt forest baada ya maiti ya mwanamume mwenye miaka 27 kupatikana ikiwa imetupwa kwenye kisima na mwengine shamba la mahindi. Wanaume hao wawili Daniel Mbugua na Richard Mutai waliripotiwa kupotea siku mmoja kabla ya kura ya maamuzi kuandaliwa. Kulingana na taarifa kutoka  kwa  jamii yao ni kuwa wawili hao walionekana pamoja katika kituo cha biashara chaa Lorian kabla ya kukamatwa na polisi wa utawala kutoka eneo hilo na tangu wakati huo hawakuonekana tena wakiwa hai.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Mauaji Burnt Forest