×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Mauaji Ya Helaiki Rwanda

Ni miaka kumi na sita sasa tangu nchi ya Rwanda kukabiliwa na vita vya kikabila kati ya makabila makuu ya  wahutu na watutsi. Na japo bado wangali wana safari ndefu kabla ya kuwa na uwiano kikamilifu kati ya wanyarwanda,nchi hii imepiga hatua za kusifika. na japo Rais Paul Kagame amekuwa akishutumiwa kwa kuzuia demokrasia na kuwanyima wanahabari Uhuru wa kujieleza,Kagame anajitetea kuwa yote haya anafanya kwa minajili ya kuzuia vita vingine vyovyote nchini humo. Mwanahabari wetu Carol Nderi alikuwa nchini Rwanda na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in