Mkuu wa sheria Amos Wako ametangaza kutoridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuhusiana na kuachiliwa huru kwa afisa wa polisi Edward Kirui aliyekuwa anakabiliwa na shtaka la mauaji ya waandamanaji mjini kisumu wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi. Hata hivyo amesema kuwa sheria hairuhusu serikali kukata rufaa kuhusiana na maamuzi