×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Idara Ya Polisi

Kamishna wa polisi Mathew Iteere ametoa onyo kali kwa polisi na makamanda wa polisi ambao ni vikwazo kwa mageuzi muhimu katika kikosi hicho. Alisema polisi wenye hulka hiyo hawastahili kuendelea kuhudumu katika idara yake. Iteere alisema idara ya polisi haina nafasi ya kuwasitiri maafisa wa polisi wenye mienendo isiyofaa na ambao wamechangia katika kuharibu sifa na uhusiano wa polisi na umma, kwa kuendeleza ufisadi, uhalifu na utovu wa nidhamu.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Idara Ya Polisi