The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Familia moja
mjini Kakamega imeishi na hofu ya mwanao anayeaminika kuwa mikononi mwa wateka
nyara nchini Somalia,
yapata miaka mitatu sasa. Patrick Libole alitekwa nyara pamoja na muingereza
Watson Murray, wakiwa kwenye kandarasi eneo la Juba.
Kufikia sasa familia hiyo haijapokea ujumbe wowote kutoka kwa serikali
kuhusiana na kisa hicho.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.