Vifo Nchini Saudi Arabia

Ubalozi wa Saudi Arabia sasa unashutumiwa kwa kuhusika pakuu katika kusafirirsha wakenya nchini Saudi Arabia  bila kuzingatia mpangilio ufaao na la kushangaza zaidi ni kimya chao hadi wa leo huku wakenya wakiumia nchini humo. Mwanahabari Lulu Hassan aliutembelea ubalozi wa Saudi Arabia kutafuta majibu na ametuandalia ripoti ifuatayo.