Mgomo Baraton

Mali ya thamani isiyojulikana iliharibiwa wakati wanafunzi wa chuo kikuu cha Baraton wilayani Nandi walipogoma na kuandamana.Wanafunzi hao waligoma kutokana na madai kuwa usimamizi wa chuo hicho ulipania kuwazuia kufanya mtihani wa mwisho wa mhula kwa kuwa na malimbikizi makubwa ya karo.

Related Topics

Mgomo Baraton