Taharuki na ukosefu wa usalama unazidi kutanda miongoni mwa jamii zinazoishi mpakani mwa tigania na tharaka huko Meru; na hata kupelekea vifo vya watu sita kufikia sasa.Waziri wa usalama George Saitoti amefanya ziara katika eneo hilo kwenye juhudi za kujaribu kuhubiri amani bila ufanisi mkubwa. Mshukiwa mmoja ameshatiwa nguvuni kufuatia uhasama baina ya jamii hizo uliopelekea mamia kuhama makwao.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
- Unlimited access to all premium content
- Uninterrupted ad-free browsing experience
- Mobile-optimized reading experience
- Weekly Newsletters
- MPesa, Airtel Money and Cards accepted