Kongowea Fire

Mali ya thamani isiyojulikana imeteketea  katika moto mkubwa  uliozuka kwenye soko kuu la  kongowea mjini Mombasa. chanzo cha moto huo  ulioanza usiku wa kuamkia leo hakijabainika .

Related Topics

Kongowea Fire