×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Forest cover situation

Tukisalia katika suala la misitu nchini, asilimia moja nukta saba pekee ndio imesalia kwa sasa ,na kulingana na wadadisi hivyo ni kumaanisha maafa kwa wakenya wengi.huku wakenya millioni kumi tayari wakikabiliwa na baa la njaa. Tayari mito kumi na mwiili inayotegemewa na wenyeji wa mkoa wa Riftvalley na magharibi inaelekea kukauka na licha ya hayo yote wanasiasa wanaoenekana kuegemea upande wa kisiasa huku wakenya wakikodolea majanga macho. Purity Mwambia anatuarifu kwa kina.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in