Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Leaders mourn Michuki

Katika majengo ya Wizara ya Mazingira, upweke, na huzuni ndizo zilitanda, katika afisi yake, kiti chake na meza yake zilikuwa nadhifu, kila kitu kilipangwa vizuri, lakini zilikosa mwenyeji. michuki aliaga dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali moja hapa jijini nairobi baada ya kupata mshtuko wa moyo.michuki ni miongoni mwa wanasiasa wakongwe humu nchini aliyehudumu katika serikali tatu, kuanzia jomo kenyatta, moi, na kibaki. Wenzake serikalini, bungeni na viongozi hapa nchini walimiminia  sifa kedekede kutokana na uwajibikaji na utendakazi wake. john michuki atazikwa nyumbani kwake kangema, kaunti ya muranga, jumanne ijaayo.
Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902