2012 POLITICS Mps on salary, Ukambani, Kenneth

Mkondo wa kisiasa humu nchini unazidi kuchukua mwelekeo mpya kila uchao kadri mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2012 unapokaribia.wana siasa wa mrengo wa pnu sasa wakitaka kuratibiw kwa mishahara kabla mfumbo wa magavana na maseneta kuanza rasmi.