Mwanaoboli Conjestina Apa Mafunzo

Je unamkumbuka Conjestina Achieng? sasa ameanza mafunzo kwa wasichana wa shule za upili na za msingi ili kuwawezesha kujikinga kutoka kwa minyoroiro ya wabakaji. Conjestina alianzisha mafunzo hayo miezi minne iliopita. mwanadondi huyo amesema anakabiliwa na wakati mgumu kutokana na ukosefu wa wafadhili.