×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Sofapaka Unveil New Coach

Hatimae klabu ya Sofapaka imemzindua mkufunzi mpya. sam ssimbwa ameanza rasmi kazi yake hii leo na kuahidi kuwa jukumu lake kuu ni kuhakikisha klabu hiyo imetetea taji iliyolishinda mwaka jana. Kocha huyo ambaye anachukua mahala pa Robert Matano alikiri kuwa ligi ya kenya ina ushindani mkubwa na hivyo basiitakua vigumu kwa timu yeyote ile kutetea taji.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in