Ruto asema uchaguzi mkuu ni baina ya mabwanyenye na wasiojiweza nchini

Mgombea wa urais wa Chama cha UDA William Ruto na wandani wake wameendelea kutaja kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Agosti tisa kuwa baina ya mabwanyenye na watu wa matabaka ya chini.

Ruto ambaye amehudhuria ibada za Kanisa la PAG eneo la Dagoreti Kaskazini na PCEA katika Kaunti ya Kiambu amehutubia wakazi wa Gatina ambapo amesema kuwa taifa hili linastahili kuongozwa na mtu anayefahamu fika changamoto za wananchi hasa ukosefu wa ajara miongoni mwa vijana.

Wandani wake Spika wa Bunge la Kitaifa Justine Muturi na Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria wameendelea kupuuza uwezo wa Dola Maslahi, System kuingilia uchaguzi mkuu wa Agosti tisa.

Aidha Kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi na Mbunge wa Kandara Alice Wahome wameendelea kuwasuta wapinzani wao kutokana na kuali kwamba Ruto hatakuwa debeni wakati wa uchaguzi mkuu.

By AFP 12 hrs ago
Rugby
Kenyan rugby player turned TikTok star cooks to fight depression
Football
'Kempes' lauds Talanta Hela Decision to go international
Football
Chepkoech eyes another win as Kenyans chase glory in China
Volleyball and Handball
Chumba back as KCB aim to reclaim continental title in Cairo