×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Constitution Review

Shughuli ya marekebisho ya katiba inatarajiwa kuchukua mkondo mpya hapo kesho wakati bunge litakapoiwasilisha rasimu ya katiba kwa mwanasheria mkuu wa serikali Amos Wako. Wako anatarajiwa kukichapisha kielelezo hicho katika kipindi kisichozidi siku 30 kutoka sasa na hivyo kutoa nafasi kwa wakenya kukipigia kura mwezi mmoja baada ya zoezi la uhamasisho.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Constitution Review