Mudavadi: Wakenya 400 watapeliwa kazi ughaibuni

Mudavadi: Wakenya 400 watapeliwa kazi ughaibuni
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi alisema takribani Wakenya 400 wametapeliwa nafasi za kazi ughaibuni haswa nchini Vietnam, Urusi, Cambodia na Myanmar.
.

RELATED NEWS