Mgomo wa Madaktari: Mgomo wa Madaktari na Udhaifu wa Uongozi
Published May. 08, 2024
00:00
00:00

Kushindwa kwa serikali hii kufumbua fumbo la mgomo wa madaktari ambao umeendelea kwa takribani miezi miwili sasa ni ishara tosha ya serikali isiyomjali Mkenya na iliyoshindwa katika kutekeleza majukumu yake. Aibu iliyoje!