Namwamba; kuna mwamba kuboresha spoti | Sepetuko Podcast
Published Oct. 14, 2022
00:00
00:00

Kuna changamoto nyingi katika sekta ya michezo nchini Kenya. Waziri wa Michezo, Ababu Namwamba ana kibarua na mwamba mkubwa kurejesha Kenya katika hadhi nzuri kispoti.