Sepetuko Podcast; Wepesi katika kukabili suala la Kamiti- lakini imekuwapo walakin!
Published Nov. 19, 2021
00:00
00:00

Kuondolewa kwa mkuu wa magereza Whycliffe Ogallo kulifanywa kana kwamba alikuwa ndiye mfungwa wa Kamiti aliyekuwa ametoroka jela. Kuwaondoa wakubwa afisini kwafaa kuandamana na heshima zinazoendana na daraja la afisi zao.