Sepetuko Podcast; Wafanyakazi wadogo kubebeshwa mzigo wa makosa ya wakubwa!
Published Nov. 22, 2021
00:00
00:00

Kamati inayoongoza shughuli za kufufua Kenya Power yakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwaitisha habari za akaunti zao za benki na mpesa. Ni mara nyingine tena ambapo wafanyakazi wadogo wanabebeshwa mzigo wa makosa ya mameneja!