Sepetuko Podcast; JE bodaboda watakataa pesa za abiria ambao hawajachanjwa?
Published Nov. 23, 2021
00:00
00:00

Hoteli zinatazamia kukusanya faida msimu wa likizo ya krisimasi, magari ya matatu pia yanajiandaa kufaidika zaidi msimu wa likizo hasa kwa kuwa msimu wa Korona uliathiri vibaya shughuli zao. Je serikali itatekeleza vipi maagizo kwamba wakenya ambao hawajachanjwa wanyimwe huduma?