Sepetuko Podcast; Uchumi wa Fuliza sio utajiri!
Published Dec. 03, 2021
00:00
00:00

Rais katangaza kwamba Kenya sasa ni namba 6 kwa utajiri barani Afrika, Je utajiri huo uko wapi? Je upo miongoni mwa wakenya wanaotegemea mikopo ya Fuliza? Mbona magazeti yamejaa matangazo ya madalali kuuza mali ya watu wanaoshindwa kulipa mikopo ya benki?