Sepetuko Podcast; Raila bado kupanda mlima- angali na kazi nzito mbele yake!
Published Dec. 09, 2021
00:00
00:00

Hata baada ya Mt Kenya Foundation kutangaza kumuunga mkono Raila Odinga, historia ya uhusiano inaathirika kwa propaganda dhalimu za miaka mingi zilizoliharibu jina la Odinga miongoni mwa watu wa Mt Kenya.