Sepetuko Podcast; Ukweli wa jina BABA ni safari ndefu ajabu!
Published Dec. 13, 2021
00:00
00:00

Mwaka 1988 kama mkenya angetamka jina Raila katika mazingira rasmi au ya umma, angejipata pabaya mbele ya vyombo vya serikali. Leo hii jamaa wa jina hilo (Raila) anaitwa BABA! Ni ishara ya Kenya kubadilika.