Sepetuko Podcast; Kwa kutegemea kura za Mt Kenya Ruto ateleza!
Published Feb. 13, 2022
00:00
00:00

Baada ya rais Kenyatta kutangaza mwanzo wa siasa kali, joto litapanda huku mlengwa akiwa mwalimu William Ruto PhD. Itaibuka karibuni kwamba kosa kuu ambalo Ruto amelifanya ni kutegemea kura za eneo la Mt Kenya ambalo halijawahi kumpigia kura mwanasiasa asiyekuwa mwenyeji!