Ruto alishinda, yasema Mahakama; kazi yamsubiri | Sepetuko
Published Sep. 15, 2022
00:00
00:00

Baada ya Mahakama ya Upeo kutupilia mbali kesi za kupinga ushindi wa William Ruto, sasa anacho kibarua cha kuiongoza Kenya, kuwaunganisha wote na kutekeleza ahadi alizotoa. Dalmus Sakali anasimulia.