Uchaguzi wa amani Kenya | Sepetuko
Published Sep. 15, 2022
00:00
00:00

Wakenya walishiriki uchaguzi mkuu wa Agosti 9, mwaka wa 2022 kwa amani. Ni mfano wa kuigwa kote Afrika. Dalmus Sakali anakupa uhondo katika makala ya Sepetuko.