Mateso ya Wakenya Saudia; serikali iingilie | Sepetuko
Published Sep. 15, 2022
00:00
00:00

Kwa miaka mingi, Wakenya wanaokwenda Uarabuni, hasa Saudi Arabia kwa kazi za nyumbani wamekuwa wakiteswa, kunyimwa chakula, dawa na wengine kuuliwa. Serikali ya Kenya inafaa kutafuta suluhu ya tatizo hili. Dalmus Sakali anasimulia katika Sepetuko.