Sharti rais Ruto na Gachagua wakomeshe ukabila
Published Jun. 10, 2024
00:00
00:00

Ukabila bado ni sumu hatari inayokumba Kenya na Wakenya. Wacha Rais na Naibu wake waoneshe mfano bora katika kutokomeza jinamizi hili na sio kuanzisha siasa za kimaeneo ambazo kwa kiasi kikubwa zinatishia kuigawanya nchi.