Ruto Alifadhiliwa na Nani Kuenda Marekani?
Published May. 31, 2024
00:00
00:00

Madai ya Rais William Ruto kuwa sehemu ya ziara yake kuenda nchini Marekani ilifadhiliwa na marafiki zake ni kinyume na Katiba ya Nchi. Waliomfadhili Rais ni kina nani na walifanya hivyo kwa nia gani?