Serikali Ilenge Kupanua Idadi Ya Walipa Ushuru
Published May. 30, 2024
00:00
00:00

Kuendelea kwa serikali kuongeza ushuru wanaotozwa wafanyabiashara kunatishia kuwatorosha waekezaji hadi mataifa mengine. Serikali ilenge kupanua idadi ya walipaushuru, sio kuwatoza walipaushuru waliopo ushuru zaidi ya uwezo wao.