Serikali Izingatie Maoni ya Wananchi Kuhusu Mswada wa Fedha wa 2024
Published May. 29, 2024
00:00
00:00

Vikao vinavyoendelea vya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Mswada wa Fedha wa mwaka wa 2024 visiwe tu kwa nia ya kujifanya kuheshimu Katiba. Wacha maoni ya Wakenya yatiliwe maanani na kuheshimiwa.