Athari za Kutuma Maafisa wa Polisi Haiti
Published May. 28, 2024
00:00
00:00

Hatua ya kuwatuma maafisa wa Polisi Haiti ni uamuzi usiokuwa wa hekima. Ni uamuzi ambao hauwezi kuelezwa kwa njia nyingine yoyote ile, isipokuwa kuonesha ubaraka kwa taifa la Marekani na washirika wake. Na hilo litakuja na athari zake mbovu kwa nchi.