Serikali Itatue Mgomo wa Walimu wa JSS Kuokoa Elimu
Published May. 23, 2024
00:00
00:00

Jinsi serikali inashughulikia mgomo wa walimu wa JSS kunaonesha serikali isiyojali. Mbona tunachezea elimu ya watoto wetu? Mbona suala hili halifanywi kipaumbele?