Mgao wa Fedha za Serikali Kwa Idadi ya Watu Unahatarisha Umoja Wetu
Published May. 21, 2024
00:00
00:00

Gumzo la mgao wa fedha za serikali na maendeleo kutolewa kwa msingi wa idadi ya watu, linatishia kurejesha nyuma hatua ambazo zimepigwa kuhakikisha ujenzi wa Kenya moja. Jamii zote zinazoishi Kenya zinastahili kujihisi kuwa nyumbani, bila kujalisha idadi yao.