Hatari Zinazokumba Jamii: Athari za Mafuriko kwa Makazi karibu na Mito
Published May. 07, 2024
00:00
00:00

Wakenya wanaoishi kwenye maeneo ya mito na mabwawa ya maji wameendelea kuhamishwa kutokana na mafuriko yanayoendelea nchini. Sepetuko inauliza noani waliidhinisha ujenzi wa makazi ya watu kwenye maeneo haya. Je, wapo maafisa wa serikali waliotepetea na kuzuru ujenzi huu, na ikiwa ndiyo, ni haki wawajibishwe kisheria.