Kutenga Fedha kwa Ajili ya Waathiriwa wa Mafuriko: Wito wa Uwajibikaji
Published May. 06, 2024
00:00
00:00

Serikali ya Kitaifa na za Kaunti zimeendelea kutangaza kutengwa kwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya waathiriwa wa mafuriko nchini na mikakati ya kukabili mafuriko. Wacha fedha hizo zitumiwe ifaavyo na maafisa wanaohusika wawajibishwe kwa matumizi yake.