Janga la Mafuriko: Msaada wa Dharura Unahitajika!
Published Apr. 30, 2024
00:00
00:00

Janga linaloendelea nchini la mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya takriban watu 150 linahitaji juhudi za pamoja na dharura kutoka kwa serikali na washikadau wengine. Sepetuko inairai serikali kuweka kando mipango mwingine yoyote isiyokuwa ya dharura na ya lazima, na kulifanya janga hili kuwa kipaumbele.