Rais Ruto Awe Kiongozi Mwenye Uzalendo, Atatue Mgomo wa Madaktari: SEPETUKO
Published Mar. 28, 2024
00:00
00:00

Mgomo wa madaktari unaoendelea lazima ufanywe kipaumbele na serikali. Wagonjwa wanaendelea kutaabika kutokana na kushindwa kupatiwa huduma muhimu za matibabu. Sepetuko inasisitiza kuwa ni wakati Rais William Ruto aangazie mbinu za kusitisha mgomo huu ili kuokoa maisha ya Wanjiku.