Ni Nani Anayewajibika kwa Mbolea Ghushi?- Sepetuko
Published Mar. 21, 2024
00:00
00:00

Taarifa za wakulima nchini kuuziwa mbolea ghushi zinaibua swali la Je, Kenya ni nchi ya ughushi? Tulifikaje kiwango hiki cha kuanza kuchezea uti wa mgongo wa uchumi wa nchi hii -Kilimo? Sepetuko inasisitiza kuwa kamwe haiwezekani tuendelee kufanya michezo hii na uzalishaji wa chakula nchini.